Hospitali ya Mwananyamala, Amana na TMK hali kuwa safi
Mkuu wa Mkoa wa Dar
Paul Makonda amekutana na balozi wa Japan nchini na kuongelea changamoto wanazokutana nazo wagonjwa katika Hospitali za Dar,
Amana,
TMK, na
Mwananyamala, hususani kwa wagonjwa wanaotakiwa kupewa huduma za haraka pamoja na chumba cha
ICU na kwa siku hospital moja inapokea wagonjwa 1800 mpaka 2000 na 50% ya wagonjwa hao wanahitaji huduma ya haraka (
Emergency unity)
Kutokuwepo kwa huduma hizo katika Hospitali hizo Mkuu wa mkoa wa
Dar amekutana na balozi wa Japan
Masaharu Yoshida ofisini kwake na kufanya mazungumzo ya Kujenga
Emergency Unity na wanaanza na Hospitali ya Temeke.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni