GUMZO TANGA: Picha ya mama Maria Nyerere na Nyerere kutokezea kwenye mti
Hii ni
Taarifa kutokea Tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya muembe
umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere upande wa kwanza na Mama Maria
Nyerere upande mwingine. Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza
June 6 2016, millardayo.com imempata shuhuda Awadhi Ally kutokea eneo la tukio usiku wa saa tano, na ameeleza kuwa……………
>>>’ni
kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, hapa
nilipo ndio naona hali halisi ya huu muembe ni kama mtu alijaribu
kuuchonga’
Bonyeza play hapa chini kusikiliza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni