VIDEO: Adhabu 4 kwa askari wasiotoa heshima ya ‘saluti’ ikiwemo kwa wabunge
June 13 2016 Naibu waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi William Olenasha amesimama bungeni kujibu swali la Mbunge viti maalum CCM Fakharia Khamis aliyetaka kujua ni kwanini askari hawatimizi wajibu wao wa heshima za salute ikiwemo kwa wabunge.
‘Askari
yeyote atakaepatikana na kosa la kutotimiza matakwa hayo huchukuliwa
hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kukatwa mshahara, adhabu ya
kutoondoka kambini, adhabu ya kufanya usafi kambini‘-Naibu Waziri William Olenasha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni