Wawili hao walikutana wiki iliyopita katika studio ya Parazobeats ya producer Mr Ttouch iliyopo Sinza Parestina jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa video hiyo, Mr T touch alimuamuru Harmorapa kuchana kidogo ili Professor J aone kipaji cha kijana huyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni